Natafuta kiwanja kwa 8M Dar es salaam

Mimi nauza kipo chanika kwa mbiki ni dakika5 chache kutoka barabara ya lami na kipo karibu na barabara ya vumbi...ni eneo la makaz ya watu ,watu wamejenga sana eneo hilo..kiwanja kinaukubwa wa mita za mraba 34 kwa 25 .Hati ipo ..Bei ni million nane tuu hakuna dalali na unaweza kulipa kwa awamu..kwa maelezo zaidi 0768048758
 
Wakuu habari,

Kama mnavyoona hali ya kifendha inakuwa ngumu kila kukicha kwa sisi wengine.
Jamani natafuta kiwanja maeneo haya Boko, Bunju, Salasala au Makongo juu.
Budjet yangu nio hiyo 8M. Kiwe kikubwa kidogo minimum 25 * 30.

Natanguliza shukrani.
Mkuu mama bado hujapata niambie nikutangazie cha kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom