Natafuta kiwanja kikubwa cha wastani maeneo ya mbagala, kimara

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Natafuta kiwanja kilichopo eneo zuri karibu na barabara kwa mei ya tshs. 2-3 milion
kiwe na hati
 
Mbona mnamtisha mdau...viwanja vipo ila sio dar es salaam...lazma viwanja hivyo vianzie morogoro kwenda hukooo na sio maeneo ya mijini....ila viwanja vipoooooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom