Natafuta Kiwanja kidogo Dar Es Salaam

Ndugu uttoh2002 Kiwanja kipo Kibamba CCM 25X20 kina msingi bei 6Mil.ila maongezi yapo kama unahitaji ni pm ni cha kwangu hakuna dalali,njia ya Gari ni mpaka kwenye kiwanja.
 
Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kinyerezi-Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepimwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
 
Tunauza viwanja Kinyerezi Dar.
Ukubwa wa 20X20 Tshs 7 milioni.
Tuwasiliane kwa simu namba 0784342632.
Siku njema
 
Back
Top Bottom