Natafuta kiwanja cha kununa mwanza

Nyamtala Kyono

Senior Member
Sep 23, 2010
163
34
KAMA kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...kiwe ndani ya mji au nje kiduchu ya mji

habari ndo hiyo
 
just inbox me your contact kuna mtu atakutafuta muwasiliane..kiwanja kiko maeneo ya nyakato hakijapimwa bado ila nadhani jiji watakwenda kupima siku si nyingi bei 2.5 Mill
 
just inbox me your contact kuna mtu atakutafuta muwasiliane..kiwanja kiko maeneo ya nyakato hakijapimwa bado ila nadhani jiji watakwenda kupima siku si nyingi bei 2.5 Mill
jamii,hivyo vinavotaka kupimwa si tayari viko kwenye mpango tayari? sasa mtu akinunua wakati vimewekwa kwenye mpango si ndo mwanzo wa kuuziwa kiwanja ambacho kimeshakuwa allocated tayari halafu ukaja kuingia kwenye ugomvi na aliyepewa na mamlaka, huku yule aliyekuuzia kienyeji ameshatokomea?

Nahitaji kile ambacho ni magumashi free.
Nime ku pm hata hivyo mkuu.
 
Nitafute kwa Namba hii 0717-706259.kiwanja kipo Kiloleni.kina umeme na maji hichi ni uhakika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom