natafuta kiwanja cha kujenga MTWARA. MSAADA

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
Habari ndugu zangu,
mimi ni mfanyakazi wa taasisi, nimepangwa kuenda kufanya kazi mtwara. nimepata kapesa kidogo nataka nikifika nikae miezi 6 nitafute eneo zuri nijenge na ntajishughulisha na shughuli mbalimbali maana nina resources kiasi(human and financial resources)
shida yangu ninaomba kwa anayeijua mtwara mjini, anielekeze maeneo yanayouzika na mazuri kwa kipindi hiki. nilishafika last month na nimepata nyumba ya kupanga BUT very expensive Mtwara! nyumba chache but watu wengi sana.
nimepata nyumba maeneo ya KIYANGU.
 
Kwa jinsi ninavyoijua Mtwara, maeneo mengi hayajapimwa yaliyopimwa siyo rahisi kupata kiwanja haraka haraka sehemu nzuri unayotaka wewe. Kama ni sehemu ambazo hazijapimwa weka wazi. Ushauri, nenda kakae kwanza huku ukitafuta taratibu maana hata nyumba kupata ni bahati.
 
Wewe hata usihangaike kuna mradi wa viwanja karibu watatangaza kuviuza/halmashauri so wasiliana na idara za ardhi then uombe kiwanja usiende kichwa kichwa mtr siku hizi sio unavoijua wewe mt n kama cairo
 
Back
Top Bottom