Natafuta kituo cha Kurudia mitihani wa kidato cha sita - Art

Isimilo

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
217
6
JamanI wana JF, kama kawaida yenu najua nitapata msaada mzuri hapa.

Ombi langu ni kutaka kujua kituo kizuri kwa ajili ya kurudia mitihani ya kidato cha sita masomo ya Art hapa Dar kama private candidate.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Mkuu,masuala ya kurudia paper hayana ishu,bora uende college 2 hata ka utaanza na level ya chini!
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila hiyo ya kidato cha sita ni plan B. Nataka kufanya vyote viwili. tayari mchakato wa college umekamilika
 
Back
Top Bottom