Natafuta kitabu: Effective methods for software testing 2nd edition by william e perry

Einstein

Senior Member
Dec 5, 2009
121
26
Hi wana JF, naomba msaada wa PDF ya kitabu tajwa hapo.. Nimejaribu kukitafuta google nimeshindwa kukipata, napata 3rd edition, ila nakihitaji cha 2nd edition..
 
Nakushauri ukapost swali lako kule jukwaa la techology kuna wajuzi wa haya mambo ya softwares
 
Back
Top Bottom