Natafuta Kinyozi

Mlonda

Member
Apr 3, 2012
35
2
Sifa:-
1) Awe na ujuzi wa kutosha husiopungua miaka 2
2) Awe mtaratibu na mwaminifu
3) Awe na uwezo wa kunyoa nywele aina zote yahani za kiafrika, Kihindi, Kizungu, kisomali nk
4) Awe anakaa karibu na Tangibovu maeneo ya Mbezi beach.
5) Awe na umri kati ya miaka 19 na 35.

Saloon ipo maeneo ya Tangibovu-Mbezi beach karibu na CONNER BAR, kwa mawasiliano zaidi apige simu 0713135070
 
Back
Top Bottom