Natafuta kijana wa kusimamia car wash na baa

Barca

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,405
1,552
Ninahitaji kijana aliyemaliza kidato cha nne na kuendelea ili aweze kusimamia biashara zangu za Car Wash na Bar, vyote viko eneo moja. Mshahara atakaopewa ni mzuri.

Nipo Songea.

Ambaye yupo interested aniPM. Vijana msilalamike hakuna ajira, zipo ila tunahitaji commitment!
 
Kuna kijana kamaliza form six na anatafuta kazi, na uzuri wake yupo Songea hapo hapo. If ure interested ni pm
 
Mkuu, vingezo ulivyovitaja ninavyo kwa kweli na ninauhitaji wa kazi mkuu. Nime kuPM tayari
 
Vipi je wale "wajeda" wa JWTZ, wameshamaliza kutembeza "kichapo" hapo na kuwapeni discipline ili ikiwezekana hata kesho nitie maguu au?
 
Mkuu nicheki 0782 168 391 nipo vizuri nianao uzoefu katika kazi usmamizi pia ninaoutashi sio mpaka nisukumwe
 
Mshahara ni 70,000 /= kwa mwezi chakula cha mchana tutakupa. Mengine ni juu yako. Aliye tayari ani pm aje tufanye kazi
 
alivotaj mshaara kelele zote kwisha na wengine na mi vyet yenu ya diploma kweli kupata kazi nayo ni kazi
 
Ninahitaji kijana aliyemaliza kidato cha nne na kuendelea ili aweze kusimamia biashara zangu za Car Wash na Bar, vyote viko eneo moja. Mshahara atakaopewa ni mzuri.

Nipo Songea.

Ambaye yupo interested aniPM. Vijana msilalamike hakuna ajira, zipo ila tunahitaji commitment!
Wap songea?????
Hahaha shikamoooo mbali.
 
Back
Top Bottom