Natafuta kijana wa kumfundisha ufundi

Naomba nitangulize shukrani zangu kwa jamii forum na kwa wale wote waliokuja inbox,naimani nimewajibu wote,
Nafasi zilikuwa chache ila tayari nimeshapata vijana na wote ni kutoka jf na nimeshaanza nao kazi,naiman watakuja kuwapa feeddback.
Kuhusu wale ambao sikuweza kuwaita,naomba wasijali kwani nafasi itakapojitokeza wao watapewa kipaumbele.
Asanteni sana na Mwenyezi Mungu awabariki
 
Mungu akubariki.. Sema gereji yako iko wapi tukuletee madili huko...watu tuna magari ya makampunk hatuna gereji nzuri
 
habari wana jamiiforum,
mimi ni fundi vilevile ni mmiliki wa garage inayojihusisha na kutengeneza magari ya kisasa kwa kutumia computer,tuna deal na gari za ulaya na baadhi ya kijapan,
kama una ndugu au jamaa au rafiki aliyemaliza kidato cha nne na mwenye umri kuanzia 19 hadi 23 na hana shughuli na angetamani kujifunza basi anichek PM
Tutamfundisha kutumia computer kwa ajili ya kupima magari,kutengeneza magari hasa upande wa umeme,tutamfundisha key programming na electronics kwa ujumla.
Ntampatia nauli na chakula muda wa kazi,sitamlipa mpaka atakapoanza kumudu baadhi ya kazi.
Kwa sasa nahitaji wawili tu(mwenye utundu wa electronics atapewa kipaumbele)
hii ni kwa dar tu
Ausee niwekee namba yako hapa au nicheck 0656411970
 
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
check me out brah! 0712566211
Kama mi ndo ningekuwa mleta uzi we upo disqualified. Uniite brah halafu uje nikufundishe?? Kuna sehemu mnakosa fursa kwa lugha zenu hizo. Akikupa hiyo fursa Hautochelewa kumuandikia "leo nimexhelewa xo nixamehe, xaxa nipo mwenge".

Na mleta uzi kasema kabisa, mwenye uhitaji afanye kum-PM ila we unataka akupigie.

Sawa bwana, hayanihusu acha nipite zangu huku nikifikiria namna vijana walioelewa fursa na kumfuata PM jamaa.

Mleta uzi be blessed Brother.
 
Taratibu naanza kuelewa kwa nini Vijana wengi wa kitanzania huwa tunasota sana kutafuta kazi..

Hivi nyie hamuwezi kusoma bango Na kulielewa!??

Khaah, kwa hiyo mnataka yeye ndo awapigie simu..

Ni bora hata mngeuliza nini maana ya MP ili msaidiwe...

Haya bhana....subiri bosi awapigie simu!!
Kabisa mkuu. Jamaa kajieleza vizuri kabisa.
 
Miaka ya nyuma Kidogo nilipambania Sana nije niwe Fundi magali. Ni fani ambayo ipo Moyoni Mwangu na hii dream ni lazima nitakuja kuifanikisha hata nikiwa kizee. Ila ndo hivyo hata huku kwenye plumbing naenjoy Sana.
Nawakumbusha lakini. Huu uzi ni wa mwaka 2016.
 
Kama mi ndo ningekuwa mleta uzi we upo disqualified. Uniite brah halafu uje nikufundishe?? Kuna sehemu mnakosa fursa kwa lugha zenu hizo. Akikupa hiyo fursa Hautochelewa kumuandikia "leo nimexhelewa xo nixamehe, xaxa nipo mwenge".

Na mleta uzi kasema kabisa, mwenye uhitaji afanye kum-PM ila we unataka akupigie.

Sawa bwana, hayanihusu acha nipite zangu huku nikifikiria namna vijana walioelewa fursa na kumfuata PM jamaa.

Mleta uzi be blessed Brother.
Waafrica tuko wapumbavu sana. Mijitu Kama wewe ndio mnafanya bara hili lisiendelee. Sasa Kuna uhusiano gani Kati ya kuandika Xaxa na ujuzi alionao mtu?

Mimi nimewahi kufanya kazi na kampuni moja kubwa ya Meli kutoka uingereza , Kuna vijana wa kiingereza ni watundu wa Meli Baharini hawajui hata kuandika barua. Kulikuwa Kuna email wanatumiwa wanasema hawawezi kujibu wao sio makarani, kazi Yao ni hayo Mambo ya bahari. You can imagine. Lakini Nyie manyani badala ya kumuita mtu uone potentiality yake unam disqualify kwasababu ya lugha
 
You are qualified baharia wa meli kutoka uingereza and BTW i cant imagine.

Pamoja na kufanya kazi na ngozi nyeupe bado kwa akili yako "kubwa" umeshindwa kuona au kuelewa mleta uzi kasemaje kwenye uzi wake. Msaidie jamaa basi umwambie mlete uzi ampigie.
 
Ng'ombe wewe soma vizuri nilikuwa namjibu nani acha kuwa Kama Malaya
 
Wafuga ng`ombe wote wanajua kama mi ni ng`ombe mda mrefu. Karibu kwenye jamii ya mang`ombe na nakupa pole kuchelewa kujua.

Ukizungumzia umalaya sijaanza sasa hivi pia, mi kitambo ni malaya wa kutupwa. Naenjoy sana.

Labda kama una lingine lilete nikutoe wasiwasi Binti Yerusalem.
 
Back
Top Bottom