Natafuta kijana wa kumfundisha ufundi

fundibenz

Member
Jul 31, 2015
61
66
Jabari wana jamiiforums,
Mimi ni fundi vilevile ni mmiliki wa garage inayojihusisha na kutengeneza magari ya kisasa kwa kutumia computer, tuna deal na gari za ulaya na baadhi ya kijapan.

Kama una ndugu au jamaa au rafiki aliyemaliza kidato cha nne na mwenye umri kuanzia 19 hadi 23 na hana shughuli na angetamani kujifunza basi anichek PM
Tutamfundisha kutumia computer kwa ajili ya kupima magari,kutengeneza magari hasa upande wa umeme,tutamfundisha key programming na electronics kwa ujumla.

Ntampatia nauli na chakula muda wa kazi,sitamlipa mpaka atakapoanza kumudu baadhi ya kazi.
Kwa sasa nahitaji wawili tu(mwenye utundu wa electronics atapewa kipaumbele)
hii ni kwa dar tu
 
habari wana jamiiforum,
mimi ni fundi vilevile ni mmiliki wa garage inayojihusisha na kutengeneza magari ya kisasa kwa kutumia computer,tuna deal na gari za ulaya na baadhi ya kijapan,
kama una ndugu au jamaa au rafiki aliyemaliza kidato cha nne na mwenye umri kuanzia 19 hadi 23 na hana shughuli na angetamani kujifunza basi anichek PM

hongera mkuu kwa uamuzi huo nicheki kwa namba hii 0659865639
 
Ubarikiwe sana mkuu kwa ukarimu huo, tukipata watanzania milioni 20, wenye moyo kama huo hakika tutavuka hapa, au kupiga hatua haraka.
 
habari wana jamiiforum,
mimi ni fundi vilevile ni mmiliki wa garage inayojihusisha na kutengeneza magari ya kisasa kwa kutumia computer,tuna deal na gari za ulaya na baadhi ya kijapan,
kama una ndugu au jamaa au rafiki aliyemaliza kidato cha nne na mwenye umri kuanzia 19 hadi 23 na hana shughuli na angetamani kujifunza basi anichek PM
Tutamfundisha kutumia computer kwa ajili ya kupima magari,kutengeneza magari hasa upande wa umeme,tutamfundisha key programming na electronics kwa ujumla.
Ntampatia nauli na chakula muda wa kazi,sitamlipa mpaka atakapoanza kumudu baadhi ya kazi.
Kwa sasa nahitaji wawili tu(mwenye utundu wa electronics atapewa kipaumbele)
hii ni kwa dar tu
Hongera sana bro kwa moyo wako
 
Mm hapa nina miaka 28. Nahitaji kujifunza. Vipi naruhusiwa?
 
hongera mkuu kwa uamuzi huo nicheki kwa namba hii 0659865639

Mm hapa nina miaka 28. Nahitaji kujifunza. Vipi naruhusiwa?

Mimi hapa 0713 744 842

check me out brah! 0712566211
Taratibu naanza kuelewa kwa nini Vijana wengi wa kitanzania huwa tunasota sana kutafuta kazi..

Hivi nyie hamuwezi kusoma bango Na kulielewa!??

Khaah, kwa hiyo mnataka yeye ndo awapigie simu..

Ni bora hata mngeuliza nini maana ya PM ili msaidiwe...

Haya bhana....subiri bosi awapigie simu!!
 
Taratibu naanza kuelewa kwa nini Vijana wengi wa kitanzania huwa tunasota sana kutafuta kazi..

Hivi nyie hamuwezi kusoma bango Na kulielewa!??

Khaah, kwa hiyo mnataka yeye ndo awapigie simu..

Ni bora hata mngeuliza nini maana ya MP ili msaidiwe...

Haya bhana....subiri bosi awapigie simu!!
MP cheo cha jeshi
au ulimaanisha PM??
 
Mungu akuongezee. Unafundisha na bado unatoa nauli na pesa ya kula. Wachache sana wana moyo kama wako
 
Back
Top Bottom