Natafuta kazi

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
387
391
Mi nimaliza shahada ya sheria jamani: naweza kufanya kazi kama afisa sheria(legal oficer), human resources manager, credit oficer, relations oficer, tutorial assistance, administrative oficer nk. I am available here 0786 046484 au gmwiga@yahoo.com
 
Sasa hivi course ya sheria kwa tz imekuwa ikipata wanafunzi kwaumaarufu wake na heshima utakayopata kutokana na fani hiyo> Nasema hv kwa sababu kuna rafiki zangu wengi tulisoma wote wao walichukua course hiyo, lakini matokeo yak hadi leo hawajapata kazi na wanalalamika sana kwa nini walichukua hiyo course, ukienda school of law ndio imekaa kibiashara zaidi, mana kati ya wanafunzi 350 utakuta wanafanikiwa kufaulu na 60 tu, sasa inakuwa kama vile kupoteza muda. Mimi nakushauri, huku ukiendelea kutafuta kazi jaribu kwanza za kujitolea kwenye ofisi yoyote, pili kama una uwezo unaweza somea course nyingine kwa level ya postgraduate ili at least uwe na wide range katika soko la ajira. Sio peke yako uanyetafuta kazi ktk fani yako ni wengi mno na wale ambao wamekwisha staff badala ya kuachia nafasi nanyi muweze kufanya kazi, ila wanajiongezea mikataba kila kukicha. yangu ni hayo tu nakutakia mafanikio mema katika utafutaji wa kazi
 
Mdau Vitendo Secretariet ya Utumishi wa Umma ilitoa Tangazo Oct 18 kwenye Gazeti la mwananchi...... au visit www.utumishi.go.tz au www.pmorolg.co.tz zimetangazwa zaidi ya nafasi 360 kwa kada tofauti ikiwemo ya sheria! struggle usichoke.

Nashukuru sana hasa kwa kuwa unaijua hali halisi. Lakini mkubwa hata kupost hili swala langu hapa jamii forum ni jitihada pia kwa sababu watu ndo wanaoshikilia kazi. Asante kwa ushauri wako kaka.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom