Natafuta Kazi

Alamasroad

Member
Jun 5, 2009
44
0
Naishi Dar es Salaam
Elimu Yangu ni Diploma ya Computer and IT
Professional Course:
1. International Computing Driving Licence ICDL
2. Desktop Publisher
3. Web Design
4. Professional Graphic Design
5. IT Essential I and II
6. Cisco Career Certifications Association CCNA

Nina uzoefu wa miaka mitatu (3) Training and PC Maintenance
Niko tayari kufanya kazi kwa muda mfupi au mkataba

Regards;
Mob: +255 755 149247 OR +255 781 265427
Mail: microcomputer1@yahoo.co.uk
 
Nenda kasome degree wewe !!!!!
huo sio ustaarabu jamani! anatafuta kazi. na hii ni JF,kwahiyo kama kama kazi inayolingana na taaluma yake zipo basi tumjulishe na sio vinginevyo.
 
huo sio ustaarabu jamani! anatafuta kazi. na hii ni JF,kwahiyo kama kama kazi inayolingana na taaluma yake zipo basi tumjulishe na sio vinginevyo.
ni kweli journal pape,kazi ianyolingana na qualification zake basi na aambiwe ila asitengwe kwa majibu hayo apewayo
 
Ngugu zangu natafuta kazi ili nipate hiyo pesa yakulipia masomo. Nafahamu natakiwa kusoma zaidi ila natafuta kazi itakayo niwezesha kusoma. natamani siku sana kusoma ila naijika kuwa na pesa, naomaba mniwezeshe kupata inayolingana na taaluma na kiwango cha elimu yangu ili ni some.

VIMITEGO "Mwenda kwao haogoipi Giza"
 
kwenye kazi..nini matarajio yako maana kuna kazi nyingine mtu anaweza kuamua tu kukupa na siyo lazima itangazwe.
 
mpe kazi basi kama ni rahisi kupatikana kwa hivyo vyeti vyake vya ms-office!!!

ukilewa si lazima uandike kwa kuwa una computer nyumbani...kaa kimya..funga domo waachie watu wanatafuta maisha yupi bora wewe unaejibu ovyo na kudanganya wazazi wenu mnasoma ...ama huyu aliesoma kiukwelii....
Ficha upu**** wako
 
Kama unataka kusoma degree na una hiyo diploma nakushahuri uombe nafasi Ubalozi wa India wanatoa nafasi mwezi ujao katikati na kwa jinsi navyofahamu utapata tu nafasi...nasisitiza msimamo wa mawazo yangu kukuambia NENDA KASOME DEGREE.
 
kama nilivyotoa mawazo yangu basi na nyinyi mmetoa yenu....asanti sana ila ujumbe umefika na msimamo wangu ni kumshauri huyo jamaa akasome degree na nimeshamjulisha jinsi ya kupata nafasi ya kwenda kusoma na akitaka msisitizo wa nafasi hiyo nitafute
vmuungwana@yahoo.com
 
Ngugu zangu natafuta kazi ili nipate hiyo pesa yakulipia masomo. Nafahamu natakiwa kusoma zaidi ila natafuta kazi itakayo niwezesha kusoma. natamani siku sana kusoma ila naijika kuwa na pesa, naomaba mniwezeshe kupata inayolingana na taaluma na kiwango cha elimu yangu ili ni some.

VIMITEGO "Mwenda kwao haogoipi Giza"

Kazi za IT help desk zitakufaa, kazana kutafuta mawizarani,kwenye mabank, na vyuoni. Kuna vyuo mbali na kutumia wanafunzi wanaajiri full time employee for support. Piga mzigo huku unatafuta degree waswahili wanasema bora kuchelewa kuliko kutofika kabisa.
 
Una CCNA Certification?
Hapana sina ndugu yangu.
Ninayo A+ Certification pia nataraji kufanya CCNA certification ila nimekwama kutokana na kuyumba kiuchumi
Mungu akinisaidia nitafanya mwezi wa pili
 
Kazi za IT help desk zitakufaa, kazana kutafuta mawizarani,kwenye mabank, na vyuoni. Kuna vyuo mbali na kutumia wanafunzi wanaajiri full time employee for support. Piga mzigo huku unatafuta degree waswahili wanasema bora kuchelewa kuliko kutofika kabisa.

Yes inanifaa kaka ila nadhani kama inalipa kiasi ili iniwezeshe kusoama; ili niongeze elimu kaka.
Naomba msaada wako kaka kama inapatikana nisaidie
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom