Natafuta kazi

CHIMPONGO

Member
Feb 6, 2012
43
3
Habari poleni na mihangaiko ya maisha. Mimi ni graduate wa Rural Development Planning kutoka chuo cha mipango Dodoma 2011, kwa yeyote mwenye kujua taasisi au shirika lenye uhitaji wa mtu wa taaluma tajwa anijuze ili nichangamkie. asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom