natafuta kazi

mbuler

New Member
Dec 16, 2010
2
1
jamani nisaidieni kupata kazi
sociology degree holder specialize in Health and Population studies,nimeshafanya kazi za research na pia assistant in registrar's office and administration as well. thnx wadau.
 
Jikite kwenye kuanzisha NGO ambayo itakuwa inashughulika na kutoa elimu hasa vijijini kuhusu mambo ya birth rate,death rate ina relation with health na kwa vile wewe ni mtaalamu wa research andika proposal submit to different stake holders najuwa kama una malengo utapata mfadhili maisha yataanza kusonga mpaka utashangaa ni field nzuri kama utajituma.Wasomi wengi hawapendi kujituma wanataka kufunga tai kwenda ofisini.Dunia ya leo heshima siyo vyeti vyako vya chuo ni pesa ndugu yangu.Unamkuta mtu mjini kafunga tai kubwa mfukoni ana sh 500.Wakati huo huo unamkuta dogo anaendesha mkokoteni wa maji ana madumu yake 10 dumu moja anauza 500 anakwenda round kumi kwa siku piga hesabu kwa mwezi anaingiza sh ngapi ndiyo utajuwa pesa ni akili na mbinu.Kazi kwetu tulioenda shule tusubirie heshima ya kuitwa wasomi au tujikite kwenye vitu vinavyoweza kututoa.
 
jamani nisaidieni kupata kazi
sociology degree holder specialize in Health and Population studies,nimeshafanya kazi za research na pia assistant in registrar's office and administration as well. thnx wadau.
kwanini usingebaki hapo hapo???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom