Natafuta kazi

Nimemaliza k/4 nimefeli natafuta kazi naomba mnisaidie.

Kusafisha mabanda, kuandaa chakula na kuwalisha, kuwapiga mswaki nguruwe: kazi masaa tisa kwa siku: mshahara elf60 kwa mwezi: UNAWEZA?
 
Mdogo wangu jipange upya urudi shule, ukitaka kunyanyasika maisha yako yote basi endelea kutafuta hiyo kazi na wakati elimu yako duni!
 
Nimemaliza k/4 nimefeli natafuta kazi naomba mnisaidie.

kazi gani zaidi ya ushamba boy? rudia mitihani ufaulu uendelee na masomo. ukipewa kazi ya kukata majani ya ng'ombe utakubali?
 
Tafuta hela anza biashara achana na mambo ya shule sio fani yako.

U just need to be disciplined to succeed in business.

Biashara yeyote hata kupaka rangi za kucha inalipa, imagine unapata up to 50,000 per day kama una mkono mzuri wa kupaka rangi kucha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom