Natafuta kazi

mfoi

Member
Jul 18, 2016
41
10
Me nikijana umri wanguu 23 ni mtoto wakwanza nayetegemewa kwenye familia duni niliyotoka naombeni msaada niji patie kazi yyte nitaimudu nakupenda na ndo atakuwa mke kwangu waungwanaaa tusaidianee
 
Kazi yoyote ndio kazi ipi sasa? Hebu jieleze zaidi upo mkoa gani na elimu yako.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Dar kubwa
Dar sehemu gani?
Una uwezo gani wa ziada maana kila mtu anatafuta kazi hivi sasa
 
Unaweza kuishi kijijin? Nina mradi wa ufagaji kuku nahitaj mtu makin mwenye uchungu wa maisha, kama upo serious na unaweza kufuga kuku njoo pm. Sehemu n kilimahewa mkuranga pwani
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Unaweza kuishi kijijin? Nina mradi wa ufagaji kuku nahitaj mtu makin mwenye uchungu wa maisha, kama upo serious na unaweza kufuga kuku njoo pm. Sehemu n kilimahewa mkuranga pwani
Tafadhali mkuu mpatie kazi huyu kijana mwenzetu.
 
Me nikijana umri wanguu 23 ni mtoto wakwanza nayetegemewa kwenye familia duni niliyotoka naombeni msaada niji patie kazi yyte nitaimudu nakupenda na ndo atakuwa mke kwangu waungwanaaa tusaidianee
Unatafuta kazi unatafuta mke?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom