Natafuta kazi yoyote mkoani arusha na kilimanjaro au Iringa

sikati tamaa

Member
Sep 12, 2012
21
10
habari wana jf..Natafuta kazi yoyote katika mkoa wa kilimanjaro au arusha au Iringa..nina diploma ya procurement and supplies mgt nimemaliza chuo mwaka jana.,.asanten
 
Back
Top Bottom