- Thread starter
- #21
sina hiyo smartphone mkuuuza smartphone panda bus urudi ukalime kijijini ndani ya mda mfupi utapata unachokihitaji
sina hiyo smartphone mkuuuza smartphone panda bus urudi ukalime kijijini ndani ya mda mfupi utapata unachokihitaji
mimi siyo mwalimu mkuuHata uwalimu umekosa Kazi?
sina hiyo smartphone mkuuuza smartphone panda bus urudi ukalime kijijini ndani ya mda mfupi utapata unachokihitaji
Ahsante mkuupole kamanda usichoke kma wew tupo wengi auko peke yako cha umuhimu endelea kupambana. inshaala tutafika
uza smartphone panda bus urudi ukalime kijijini ndani ya mda mfupi utapata unachokihitaji
Ahsante kwa ushauri wako mkuuPoint hii. Kuku mmoja 10,000/= mtetea. Kuku 10*10,000=100,000/= Jogoo 1=15,000/= . Chukua pumba za 30,000= inakuwa 145,000=
Watataga mayai nane kwa siku 8*400= 3,200/=
3,200= Kwa siku si ndo ameanza kujitegemea ivo.