Natafuta kazi yoyote itakayoendana na shahada yangu

Blessingme

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
250
52
Hi, mim ni graduate wa mwaka jana 2010, 25yrs of old.

Natafuta kazi yeyote ambayo naweza kuifanya kwa ufanisi zaidi. Kiufupi ni muhitimu wa kozi ya biashara upande wa ununuzi na ugavi (BA-procurement and supply mgt), uzoefu tangia nimemaliza ninafanya family business bt in small scale, na nimejisajili kwenye procurement and supplies professionals and technicians board, stage 4 for professionals na nimefanya mitihani hiyo ya board, ni graduate wa Sua college ya moshi yaani muccobs.

So naweza fanya kazi ya professional yangu na nyingine kama marketing, loan officer, bank teller, monitoring and research officer, SACCOS management, program officer etc, ningependa yeyote mwenye msaada, information au ushauri na mchango wowote ani PM. Note ctapenda mtu aniambie nijiajiri mwenyew coz had naandika hapa inamaana hilo wazo limeshindikana.

Thanx
 
Sasa kama hutak kujiajir sisi tukushauri nini kingine mkuu...othrwise endelea kulala nyumbani ukisubria kuajiriwa.
 
Hi, mim ni graduate wa mwaka jana 2010, 25yrs of old.

Note ctapenda mtu aniambie nijiajiri mwenyew coz had naandika hapa inamaana hilo wazo limeshindikana.

Thanx

Moja: kuwa tayari kupokea ushauri hata usioupenda. Usipende kuambiwa tu kile unachotaka kusikia wewe. Kwisha sema hayo basi nakushauri UJIAJIRI.

Pili: kwa sababu wewe ni graduate tu na huna experience yoyote jaribu kuitafuta experience hiyo. Omba nafasi ya kuvolunteer ama kuwa intern katika mashirika mbalimbali

Tatu: huku ukiendelea kuyafanyia kazi moja na mbili hapo juu,endelea kutuma maombi ya kazi mengi iwezekanavyo kadiri ya nafasi zitangazwavyo kutoka kwa waajiri mbalimbali

Ubarikiwe ndugu katika jitihada zako
 
Hi, mim ni graduate wa mwaka jana 2010, 25yrs of old.

Natafuta kazi yeyote ambayo naweza kuifanya kwa ufanisi zaidi. Kiufupi ni muhitimu wa kozi ya biashara upande wa ununuzi na ugavi (BA-procurement and supply mgt), uzoefu tangia nimemaliza ninafanya family business bt in small scale, na nimejisajili kwenye procurement and supplies professionals and technicians board, stage 4 for professionals na nimefanya mitihani hiyo ya board, ni graduate wa Sua college ya moshi yaani muccobs.

So naweza fanya kazi ya professional yangu na nyingine kama marketing, loan officer, bank teller, monitoring and research officer, SACCOS management, program officer etc, ningependa yeyote mwenye msaada, information au ushauri na mchango wowote ani PM. Note ctapenda mtu aniambie nijiajiri mwenyew coz had naandika hapa inamaana hilo wazo limeshindikana.

Thanx
Wizara ya Fedha watatangaza nafasi za kazi mwezi July, 2011, usisahau pengine uatapata inayolingana na shahada yako mwanangu, Mungu mkubwa....
 
Hi, mim ni graduate wa mwaka jana 2010, 25yrs of old.

Natafuta kazi yeyote ambayo naweza kuifanya kwa ufanisi zaidi. Kiufupi ni muhitimu wa kozi ya biashara upande wa ununuzi na ugavi (BA-procurement and supply mgt), uzoefu tangia nimemaliza ninafanya family business bt in small scale, na nimejisajili kwenye procurement and supplies professionals and technicians board, stage 4 for professionals na nimefanya mitihani hiyo ya board, ni graduate wa Sua college ya moshi yaani muccobs.

So naweza fanya kazi ya professional yangu na nyingine kama marketing, loan officer, bank teller, monitoring and research officer, SACCOS management, program officer etc, ningependa yeyote mwenye msaada, information au ushauri na mchango wowote ani PM. Note ctapenda mtu aniambie nijiajiri mwenyew coz had naandika hapa inamaana hilo wazo limeshindikana.

Thanx

sitoi kazi ila nataka tushee possibilities za nafasi,kama waweza nitumie email kupitia gsana6@gmail.com ili nikudirect wapi waweza kufanikiwa. Plz sitoi kazi pia nami nasaka kazi ili niachane na yangu ya sasa. Kwa kuwa ni ishu ya private basi nitumie email fasta,ukiweza leo ili kuna sehemu kama 5 zisizo na usanii,pia deadline inakaribia. Gudtym.
 
Mkuu achana na hawa eti ukajiajiri wakati hata meal ni ishu apa dar,pia kwa graduate,initial capital utaipataje?je kukopa security unayo?je ukíinvest utapata returns?je umefanya market research na attached risk? Je profit na returns?na payback period? Je economic environment ya tz ina viability? Nina maswali mengi zaidi ya majibu.Usikubali kuwasikiliza wanaosema jiajili,wanabeza tu. Kama wataka kujiajiri waweza kuajiriwa kwanza ukakusanya fund,uisome business ndo uje ujiajili. Nakupa mfano,boss wangu ni mtu wa Dubai,ana uwezo mzuri tu wa kifedha lakini ameajiriwa kwanza kuwakilisha kampuni hapa East Africa kwa miaka 10 ndo karesign kujiajiri. Pia alidokeza wafanyakaz wake waliokuwa naye nao pia sasa wamepata uwezo na experience ya kujitegemea. Mkuu fuata dhamira yako kwanza.
 
habari! ni muda mrefu sana nilianzisha thread hii ninachoweza kusema nawashukuru sana wote walionishauri , waliojitahidi kunipa msaada na kuniombea na pia kunitakia mema na pia nawashukuru wale wote walionikosoa coz ndio walinifanya niwe strong zaidi na kusonga mbele mungu awabariki sana. ninachoweza kusema nimemwona mungu kwa wakati niliopangiwa kwani Nina zaidi ya mwaka mmoja kazini tena kazi ya serikali kwa professional mungu awabariki sana muendelee na moyo huo huo. shukrani kwa gsana na wengine. asanteni sana
 
usikate tamaa ya kujiajiri. niliwai kusoma mtari huu 'no defeat is final till we stop trying' usikate tamaa keep trying you have a lot of energy at your age
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom