Natafuta kazi ya ualimu

GABE100

Member
Mar 27, 2012
51
2
Natafuta kazi ya ualimu katika jiji la dar es salaam. Nina uzoefu wa miaka mitatu na nina diploma ya ualimu wa sekondari katika masomo ya history na geography. Vile vile nina uwezo wa kufundisha somo la civics na general study. Kwa mawasiliano napatikana kwenye 0686731371.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom