Natafuta kazi ya ualimu

Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,265
539
Nina elim ya shahada (BEDSN) natafuta kaz ya ualim kwa muda. Nafundisha masomo ya art.
 
hvi kazi ya ualimu nayo ni ya kutafuta kweli! acha hizo ndugu we nenda shule yoyote na vyeti vyako wala huitaji usaili.
 
think logically b4 u comment ncn.. si kila shule ina pesa ya kuajiri walim.
 
shule zipo kaka, hangaika, ondoka jamvini tembea zunguka huko na huko kama uko Dar nenda shule moja hivi iko pale Sinza Kumekucha inaitwa Dar es Salaam International au Sinza Tower, watakuchukua japo pay yao ni 190,000 kwa mwezi, naongea vitu ambavyo nina uhakika navyo na hawana mkataba, ni kama maigizo fulani hivi lakini kama kweli umeshikika sana waweza jishkiza kwanza, nilipitiaga pale na I was paid the same, nimeulizia last week bado wanachukua walimu na pay yao ndio hio. Yakikushinda unatimka
 
Nina elim ya shahada (BEDSN) natafuta kaz ya ualim kwa muda. Nafundisha masomo ya art.
njoo toronto, waalimu wanalipwa vizuri sana huku. vile vile utapata fursa ya kujiendeleza kielimu zaidi bila usumbufu wowote
 
shule zipo kaka, hangaika, ondoka jamvini tembea zunguka huko na huko kama uko Dar nenda shule moja hivi iko pale Sinza Kumekucha inaitwa Dar es Salaam International au Sinza Tower, watakuchukua japo pay yao ni 190,000 kwa mwezi, naongea vitu ambavyo nina uhakika navyo na hawana mkataba, ni kama maigizo fulani hivi lakini kama kweli umeshikika sana waweza jishkiza kwanza, nilipitiaga pale na I was paid the same, nimeulizia last week bado wanachukua walimu na pay yao ndio hio. Yakikushinda unatimka

thanx!
 
nenda oslo sec...ipo kibamba...hadi mwezi wa kwanza walijuwa wanalipa ''bachelors'' laki 4...sijui sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom