Natafuta kazi ya muda, uuguzi na ukunga

MOODYGUY

Member
Jan 10, 2012
20
2
Habari wana JF!

Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga (Nursing and Midwife) ngazi ya Cheti (enrolled nurse) kilichopo Mwanza na natarajia kuhitimu masomo mwezi wa nane mwaka huu (August 2015).

Ombi langu ni kwa yeyote anaefahamu hospitali au zahanati ambayo naweza kufanya kazi (tempo) ikiwezekana na mshahara wao ulivyo wakati nikisubili matokeo yangu ambayo yatachukua miezi miwili au mitatu.

Nnatanguliza shukrani!
 
Yani kama kujua tu hii habari uiweke jukwaa gani ni shda napata wasiwasi na hiyo nesing yako hata kama ningekuwa naijua nisingekwambia ila ushauri wa bure ipeleke jukwaa jingine na siyo hili na waweza pata majibu
 
Paw, msaidie huyu mdau tasafali.
 
Last edited by a moderator:
Yani kama kujua tu hii habari uiweke jukwaa gani ni shda napata wasiwasi na hiyo nesing yako hata kama ningekuwa naijua nisingekwambia ila ushauri wa bure ipeleke jukwaa jingine na siyo hili na waweza pata majibu

Inaonekana JF unaijua sana kuliko hta admin, au we ndo admin???,, kwanza mi ndo nnawacwac naww kwa7b umeingia kwenye group ambayo haihitaji wa2 wenye roho mbaya Kama yako,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom