Natafuta kazi ya miezi miwili.

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
141
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nasoma BA in Economics. Ninauwezo mzuri wa kutumia kompyuta na statistical package kama SPSS na E-views
.
Kwa sasa niko hapa Dar na nitafanya mahali popote.<br />
Ninauwezo na uzoefu katika kazi za kijamii hususan masuala ya vijana, na pia ujuzi wa lugha ya kiswahili na kiingereza.
 
next time mnapotafuta kazi

usitangaze shida zako na usiseme hilo la miezi miwili

wewe ungesema tu uwezo wako na extra talaent kama unayo....

waajiri hawaaajiri kwa kukuonea huruma,na hawawezi kukuajiri wakijua utaondoka after miezi miwili
 
Kuwa makini kaka kwenye kuomba kazi za muda mfupi sio muhimu sana kutaja utafanya kazi kwa muda gani kwani wapo watu wanaotaka kama hiyo ya kudumu alafu kwa sasa kwa kuwa unataka kazi ya muda sio lazima uwe na profesinal nayo we fanya yoyote ili upate pesa ya kufanya hayo unayohitaji
 
Kaka upatikanaji wa yoyote ni mgumu sana, japo nahitaji yoyote iliyohalali. Thanx kwa ushauri pia mkuu
strit boy;
Kuwa makini kaka kwenye kuomba kazi za muda mfupi sio muhimu sana kutaja utafanya kazi kwa muda gani kwani wapo watu wanaotaka kama hiyo ya kudumu alafu kwa sasa kwa kuwa unataka kazi ya muda sio lazima uwe na profesinal nayo we fanya yoyote ili upate pesa ya kufanya hayo unayohitaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom