Natafuta Kazi ya Kujiajiri

QUALIFIED

JF-Expert Member
Jun 13, 2012
773
112
Mie ni msomi ambae nimehitimu masomo na nipo kusubiri nafasi za kazi ambazo nimeomba maeneo mbali mbali. Hata hivo nilipenda sana niweze kujiajiri. Naomba mawazo yenu wapi pa kuanzia?

Sina mtaji wowote na nahitaji na kupenda pia niweze pata mtaji walau hata kidogo wa kujiajiri. Ni namna gani naweza pata mtaji wadau?

Natanguliza Shukrani.
 
Weka cv zako tuzione then tutakupa kazi ya kujiajiri! Mwenye macho haambiwi tazama
 
Mie ni msomi ambae nimehitimu masomo na nipo kusubiri nafasi za kazi ambazo nimeomba maeneo mbali mbali. Hata hivo nilipenda sana niweze kujiajiri. Naomba mawazo yenu wapi pa kuanzia? Sina mtaji wowote na nahitaji na kupenda pia niweze pata mtaji walau hata kidogo wa kujiajiri. Ni namna gani naweza pata mtaji wadau? Natanguliza Shukrani.
umemaliza masomo gani mkuu...
 
kwa nch hii kama hauna mtaji ndugu yangu ni matatizo makubwa sana, kwanza ungesema umesomea nini ili tujue uko upande upi wa elimu yako, pili unahitaji kazi gani kwamaana tunaweza kukuambia twende tukalime kwa mkono nawe hauwezi kulima hebu eleza kidogo ili tujue kwa maana wasomi tupo wengi na tuna fani mbalimbali kaka aksante nabila shaka umenipata mwana,

:spy:
Mie ni msomi ambae nimehitimu masomo na nipo kusubiri nafasi za kazi ambazo nimeomba maeneo mbali mbali. Hata hivo nilipenda sana niweze kujiajiri. Naomba mawazo yenu wapi pa kuanzia?

Sina mtaji wowote na nahitaji na kupenda pia niweze pata mtaji walau hata kidogo wa kujiajiri. Ni namna gani naweza pata mtaji wadau?

Natanguliza Shukrani.
 
Unaweza kutafuta kwanza kazi ukaajiriwa ili upate uzoefu na mshahara wako ukautunza ili uwe mtaji wa kufanya kile unachokipenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom