Natafuta kazi ya kufundisha somo la biology

kikule

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
217
56
Ni mwalimu mzoefu katika tasnia ya elimu.
Mafanikio makubwa katika elimu angalia matokeo ya shule ya Bwiru boys mwanza au uliza mwanafunzi yeyote aliye maliza shule hiyo kwa A-level siku za karibuni
Kwa sasa nipo Dar es salaam,natafuta kazi katika shule za hapa katika leve yoyote.
kwa mawasiliano
0766241185
0784694301
e-mail stevemag2@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom