NATAFUTA KAZI YA KUFUNDISHA "PART TIME" SHULE YA SEKONDARY (O LEVEL n/or A LEVEL)

georgei

Senior Member
Oct 14, 2009
110
8
Kama ilivo hapo juu,nimesoma Engineering,nafuta kufundisha kwa part time shule yyte hapa mjini DAR..masomo ninayofundisha ni PHYSICS,MATHEMATICS,CHEMISTRY
 
una wazo zuri..na tunahitaji sana mchango wako!! je usha be registered as a proffessional engineer?? and why teaching not engineering??? all the best mkuu....
 
jaman haya mambo magum ila tatzo n ushabiki na sifa

ni kweli watu wanaleta ushabiki tu....................mi nataka nifanye kile nilichotumwana na mungu duniani,nilienda engineering kwa sababu nilifaulu na mfumo ukanilzimisha!!!
 
ni kweli watu wanaleta ushabiki tu....................mi nataka nifanye kile nilichotumwana na mungu duniani,nilienda engineering kwa sababu nilifaulu na mfumo ukanilzimisha!!!
duuuuuuuh mpaka nyie mnaomba ualimu, kweli hali mbaya sana nchini
 
Back
Top Bottom