Natafuta kazi ya kuanzia maisha ya mtaa

NG'WENEKELE

Member
Mar 7, 2011
14
0
Jamaa zangu,mimi ni graduate.natafuta kazi ya kuanzia maisha mtaani yenye mshahara angalau wa sh.300,000/= kwa mwezi.anayeweza kunisaidia call 0712815071 au 0767815071 NIMESOMA LAW,UNIVERSITY OF DAR,UMRI MIAKA 26,NIPO DAR,NA NI MWANAMME.
 
Jamaa zangu,mimi ni graduate.natafuta kazi ya kuanzia maisha mtaani yenye mshahara angalau wa sh.300,000/= kwa mwezi.anayeweza kunisaidia call 0712815071 au 0767815071
duh!
ok kuna kazi iko wazi qualifications:
Education Qualifications

Candidates must have a minimum of an Advanced University degree (masters or
equivalent) in law. A specialization in public international law would be an added
advantage.

Work Experience

Candidates must have a minimum of fifteen (15) years relevant professional
experience, at national or international level, in judicial or other relevant legal
functions with regard to the above defined duties and responsibilitie

.................ni pm .. kwasababu naona namba zake hazipatikani..mshahara ni mara nne ya huo ulioomba.
sehemu ya kazi ni Arusha ,...fanya hima tuwasiliane nafasi ipo wazi na moja ,.
all the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom