Natafuta kazi ya assistant library

Umesoma wapi? Weka hapa cv yako vizur,i mean jielezee vizur usaidiwe,wewe uko wapi kwa sasa?
 
Unaonyesha hata hicho cheti umepata kimagumashi tu coz hata kujielezea hujui. Ni Assistant Librarian siyo Library assistant lol. Kwanza hiyo elimu ni ndogo sana, kwa nini usiende bagamoyo kufanya diploma?
 
Sio vizuri kubisha na kukosoa kitu ambacho wewe huna uhakika nacho, kule University of Dar es Salaam Library Services kuna watumishi wanye vyeo vya Library Assistant, Senior Library Assistant II na Senior Library Assistant I kwa wenye elimu ngazi ya cheti. Unaposema Librarian au Assistant Librarian unapoongelea ngazi ya Stashahada na Shahada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom