natafuta kazi ualimu sek.

emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
728
136
mi ni mwl wa sek mkoani moro tangu 1998. degree holder. masomo nifundishayo ni G.S/CIVICS/GEOGR kwa O LEVEL NA A LEVEL. niko tayari kufundisha popote pale jijini dsm kuanzia jan hii. nahitaji mshahara mdogo sana. contact: 0714-408238
 
Back
Top Bottom