Natafuta kazi popote

habari ndugu zangu,natafuta kazi accountant any place any time


Oh!!!! You cannot be that general man!!!!! Na ndiyo maana tunakosa kazi hasa unapoitwa kwenye interview ni vema pia kuwa specific!!!! Drop yor qualifications here and areas of preference or competence.
 
Mkuu hata jinsia ni muhimu kui-declare hapa kabisa si unajua tusije kukudirect sehemu kumbe wanataka ladies only,
 
Jamani muwe na staha kidogo hiki kipindi ni kigumu sana, vyuo kibao vimetema, UDSM, MZUMBE, IFM, etc. watu wanataka kazi kweli hasa ukizingatia kuwa ameandika jina lake halisi (Not sure lakini). Mkuu Thabiti najua umejiunga hapa mahususi kwa lengo la kutafuta kazi, na huenda hata pesa ya kuingilia internet cafe ikawa mgogoro, ila usichoke usikate tamaa, andaa CV yako vizuri ili uweze kuvutia interest ya waajiri. Usiwe too general ACCOUNTANT una CPA?, B.Com Acc?, BAF?, Adv Dip in Acc?, Atec 1 or 2?. Fanyia kazi haya mambo utapata kazi tu.
 
Yeah hata sunday news leo imetoa kwa kifu[pi za wiki nzima na hizo za NIC.

Pia waone radar recuitment - Backlays house pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom