Natafuta Kazi Part time-Housekeeping\ home cleaning and organizing.

Ebenezer J

Member
Apr 18, 2016
8
5
Habari JF,
Mimi ni Mvulana na mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili. Nina miaka 21.Nipo Dar es salaam. Ni kijana mchapa kazi na Muaminifu.

Ninatafuta kazi part time masuala ya housekeeping. Kwa wale wanaohitaji usaidizi wa kazi zifuatazo nyumbani niko Available ; --- Nina uwezo wa kufanya usafi kwa ujumla vizuri ( general\overall cleanliness) kama vile resident's rooms, bathrooms\toilets and common areas.

Nina uwezo wa kufua vizuri k.m nguo, mashuka n.k na Kupiga pasi pia (laundry/washing & Iron clothes). Pia ninaweza kufanya gardening. Ninaweza kusafisha na kupanga nyumba vizuri( cleaning & home organizing).

Vile vile nina uwezo wa kufanya shopping kwa mahitaji ya nyumbani. Kwa yeyote anaehitaji usaidizi huo Tafadhali ni Pm.
 
Kama umemaanisha pongezi kwako mkuu maana vijana tuliowengi tunapenda kujikweza na kutaka kazi za maofisini ukiwa likizo utanitafuta nikupe shughuli ya kufanya itakayo kuingizia kiasi cha kujikim
Nashukuru Sana Mkuu. Nitafanya hivyo.....Ila hata wakati huu ninaweza kufanya kama inawezekana.
 
Back
Top Bottom