Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
Jamani naombeni msaada mimi ni Mtanzania mwenzenu lakini nimeamua kujitoa kimasomaso kwani naamini uzoefu wangu wa kazi na Elimu yangu vinaniwezesha sasa kujitosa kwenye ulimwengu wa kazi at International Level. But ningependa sana nifanye kazi nje ya Tanzania, kwa mfano Nchi za UAE, au nchi nyingine yoyote but not Tanzania.
Hivi kuna mtu ana websites au link ya websites ambazo zinatangaza International jobs but special for africa au for UAE?
naombeni msaada wenu wanajamii....!
Hivi kuna mtu ana websites au link ya websites ambazo zinatangaza International jobs but special for africa au for UAE?
naombeni msaada wenu wanajamii....!