Natafuta kazi nina certificate ya general agriculture

Dine

Member
Apr 19, 2012
57
6
Ndugu wanajf mm nina certificate ya general agriculture hivyo basi nahitaji kupata kazi mahali popote hapa tz katika makampuni na mashirika yanayohusiana na kilimo na mifugo
 
Ndugu wanajf mm nina certificate ya general agriculture hivyo basi nahitaji kupata kazi mahali popote hapa tz katika makampuni na mashirika yanayohusiana na kilimo na

mifugo

Si unakazi na unalipwa Pgss 10?!Acha sanifu bwana.
 
Acheni kumkatisha tamaa mm ninalipwa huo mshahara c mbaya sana​



Nani anaekuspai yeye mwenyewe ndio alie andika hayo hapo juu. Ila Tazama gazeti la mwananchi la yrh 19/14/2012 kuna tangazo linalohusiana watua wa kilimo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom