Natafuta kazi Ndugu zangu

Kama unauwezo endelea na shule usiwe na pupa ajiri hazilipi now dayz,so jipange kujiajiri.
 
ajira siku hizi ngumu kweli,kama una laptop nenda pale kariakoo uwe unafanya biashara ya kuingiza nyimbo kwenye simu inalipa kishenzi @ music 300
kuliko kukaa nyumbani ata hela ya vocha huna
 
endeleza elimu jisomee sana alafu usitafute kaz tu pia anika vitu unavyoweza kuvifanya ktk IT ujtangaze, kuwa FREELENCER.. google sana ukutane na wana IT Wenzako online utapata deal nyingi..jiunge na GOOGLE PLUS pia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom