Natafuta Kazi na Wanafunzi wa Kufundisha

Alamasroad

Member
Jun 5, 2009
44
0
Naishi Dar es Salaam
Elimu Yangu ni Diploma ya Computer and IT
Professional Course:
1. International Computing Driving Licence ICDL
2. Desktop Publisher
3. Web Design
4. Professional Graphic Design
5. IT Essential I and II
6. Cisco Career Certifications Association CCNA

Natafuta wanafunzi wa Kufundisha pia masomo haya
1. Basic Web Application
2. Office Application
3. Desktop Publisher
4. Graphic Design
5. ICDL
Naweza kumfuata mwanafunzi popote alipo hata mkoani pia naweza kuendana na ratiba zake kama ni mfanya kazi tunaweza soma baada ya muda wa kazi na weekend.

Gharama ni nafuu zaidi kwani ninakufuata hata nyumbani,ofisini hata shuleni na chuoni
Nina uzoefu wa miaka mitatu (3) Training and PC Maintenance
Niko tayari kufanya kazi kwa muda mfupi au muda mrefu

Regards;
Mob: +255 755 149247 OR +255 781 265427
Mail: microcomputer1@yahoo.co.uk
 
Mbona hujaweka jina lako kamili ndugu KITU KINGINE USIWE UNAPENDA VITU CHEAP KAMA HIVI KUJITANGAZA HAPA UKIWA UNAANDIKA UTAPATA CHALLENGE NYINGI SANA NA WATU WATAKUFUATA KUTOKANA NA MICHANGO YAKO KATIKA SEHEMU HUSIKA
 
Mbona hujaweka jina lako kamili ndugu KITU KINGINE USIWE UNAPENDA VITU CHEAP KAMA HIVI KUJITANGAZA HAPA UKIWA UNAANDIKA UTAPATA CHALLENGE NYINGI SANA NA WATU WATAKUFUATA KUTOKANA NA MICHANGO YAKO KATIKA SEHEMU HUSIKA

Nashukur mkuu kwa maoni nitalifanyia kazi
Shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom