natafuta kazi mkoa wa Mwanza

mahenje

New Member
Mar 24, 2012
3
0
jamani nina bachelor ya political science and public administration ya udsm, natafuta kazi inayoendana na sifa zangu hapa mwanza, kwa yeyote mwenye info ya kazi let me know. thank u
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom