Natafuta kazi katika Mashirika, Asasi na Taasisi za kijamii zilizopo ndani au nje ya nchi.

Samsajen

New Member
Jul 11, 2011
1
0
ni mtanzania ninayeishi hapa Dar es salaam, napenda kuchukua nafasi hii kuweza kutafuta kazi katika mashirika ya kijamii, asasi za kiraia na taasisi za kijamii ambazo hujihusisha na maendelea ya jamii, sifa zangu ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha ustawi wa jamii ambaye nachukua shahada au digrii ustawi wa jamii (social work), nina uwezo wa kufanya kazi vizuri katika hali yeyote ile, nina akili timamu na mwenye uwezo wa kuongea na kuandika kwa kutumia lugha mbili (Swahili and English), mwisho naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kama niaminivyo sote ni wama jamii na tunahitaji iweze kushamiri. Asante.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom