Natafuta kazi jamani

MALINI

Member
Jun 5, 2012
12
2
Jamani marafiki natafuta kazi ya receptionist au customer care au yoyote inayohusika katika ofisini. Elimu yangu ni ndogo tu ni certificate ya shipping and port operation. Napenda sana kujiendeleza lkn pesa ndio tatizo! Aliye na nafasi anisaidie nina ujuzi wa computer, naweza kuitumia vizuri sana kwa kazi za osisini.
asanten kwa hayo machache
 
Tanzania Ports Authority wametoa matangazo mara kwa mara kutaka Port Attendants na Time Watchers kwa maoni yangu huwa hawapati right candidates ndio maana tangazo linajirudia mara kwa mara.

Jaribu kutafuta mawasiliano nao upate taarifa pindi wakiajiri
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom