Natafuta kazi jamani

UKWELIWANGU

Member
Aug 11, 2011
82
5
mm ni kijana wa kitanzania. Ambaye nimemaliza DEGREE YA KWANZA MWAKA JANA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-LAAM.BCOM. ila daah? nime apply mpaka nimechoka ngoma bilabila. Ila bado najipa moyo kama alivyosema UPENDO NKONE.''NAJIPAMOYO''. Na naendelea kutumamaombi.
kwa sasa nipo bush najitolea katika NGOs kama MUHASIBU. nimeanza kujitolea APRIL 2011 MPAKA SASA NAENDELEA.

NAOMBENI WANA JAMII YEYETO ANAEWEZA KUNISAIDIA TUWASILIANE KUPITIA E-MAIL '' kkipengele @ yahoo.com''

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

thanx

ulispecialize ktk nini?

Mzee usikate tamaa....... ukiona hivi unakaribia kupata........... Utafutaji kazi ni sehemu ngumu ya baada ya shule..........

unatakiwa ujisaidie, hakuna wakukusaidia jishike vizuri, utashikwa......! unaonekana si mtu wa kunetwork sana wewe au huwa hupendi kufuatilia mambo....UDSM pale huwa kuna waajiri kama PWC, deloitte, E&Y etc mkimaliza tu huwa wanakuja pale kurecruit vijana.....huwa hawaangalii GPA, kozi wala nini, unapiga Aptitude test tu...ukifaulu hiyo unaingia level nyingine za interview etc etc....wewe ulikuwa wapi hukuziona hizo?

Pili, Access Bank wanaajiri vijana kila leo tena any graduate kuwa credit officers, ukipeleka CV tu lazima uitwe tu.....wewe uko dunia gani bana? au unachagua kazi wewe?

asanten kwa ushauri wenu. i
kupiga CPA napenda ila tatizo mshiko ( pesa) ya kufanyia hiyo CPA.
Ndomaana natafuta kwanza kazi ili nikipata pesa nifanye hiyo CPA.

naomba kuwasilisha.

Hao jamaa sawa wanakuja lakini GPA huo ndio nguzo yao kubwa.
kuna jamaa zangu ambao tulifanya nao wote hiyo michakato na wna GPA 3.6.
pi . walikosa kama mm nilivyokosa.
walichukua GPA. KUBWA ZAIDI.

HAYO MASHIRIKA WANACHUKUA VYUO VINGI ILA WANA TAKA THE BEST GPA

Wewe ulikuwa na GPA ya ngapi? after all, GPA si big deal, issue ni wewe unajiuzaje mtaani, unaelewa nini, unaweza kumsaidia mwajiri kwa kiasi gani, perfomance yako ipo vipi na vitu kama hivo....! kinacho takiwa ni uwezo wako wa asili (natural talent), kujituma katika kufanya kazi na kujifunza zaidi.....!

Mimi nilifanya hizo interview na watu walikuwa na mafirst class na wengine na MBAs lakini walipigwa chini, si wengine tukachukuliwa......! so GPA is just a number, haina maana yoyote kama huwezi kuitranslate into life experience kijana....! Uko kijijini wapi?

unatakiwa ujisaidie, hakuna wakukusaidia jishike vizuri, utashikwa......! unaonekana si mtu wa kunetwork sana wewe au huwa hupendi kufuatilia mambo....UDSM pale huwa kuna waajiri kama PWC, deloitte, E&Y etc mkimaliza tu huwa wanakuja pale kurecruit vijana.....huwa hawaangalii GPA, kozi wala nini, unapiga Aptitude test tu...ukifaulu hiyo unaingia level nyingine za interview etc etc....wewe ulikuwa wapi hukuziona hizo?

Pili, Access Bank wanaajiri vijana kila leo tena any graduate kuwa credit officers, ukipeleka CV tu lazima uitwe tu.....wewe uko dunia gani bana? au unachagua kazi wewe?
hao Access Bank lazima watakuwa na matatizo, kwanini waajiri watu kila leo? Kuhusu PWC na hao wengine sidhan kama unawafahamu vizuri, usimshutumu jamaa bure.

Kweli kaka yangu.

PLEASE:

kwa anayeweza kunisaidia naomba tuwasiliane kupitia E-mail ''Kipengele@yahoo.com''

NAOMBENI MSAADA WENU WANA JAMII.

ASANTE SANA KWA USHAURI MULIONIPA WANA JAMII WENZANGU.

'' MUNGU AWABARIKI ''

Back
Top Bottom