Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

Kweli mazoea hujenga tabia, hyo ni tabia yake hata mashoga walianza hivyo, mana nimecheka sana eti Kw Sasa Hana ajira that's why he need a wife who can handle him. Asante kwa kunipa kicheko kijana mwezang
 
Unataka kazi ? karibu pwani, kuna kupara samaki na kuparamiwa,
Chochote unachotaka utanunuliwa,
Shida zako za nyuma yakhe utatatuliwa
 
Yaani nikiona wakiume mwenzangu ana tabia kama zako nampa laana miaka mia anataka kuhudumiwa na mwanamke? kweli uvivu mtakuja kuolewa
 
Makonda wacha apitie huu uzi akusweke ndani kwanza kisha upewe kazi ya palizi shambani
 
huo umbambanaji wako upo kwenye papuchi? mfyuuu nipitie mbali huko
ee mwenyezi Mungu kila mwanaume mwenye nia ya kunichuna,mvivu mvivu kama huyu mleta mada,asie na mpango wa kunipa hela kila nikipita mbele yake mpige upofu au unifanye ninuke kinyesi
Hahahahahaha
 
nimecheka sana asee
 
Nnaona type ya wanaume zako ni kama mie... Ambapo nikiwaga na mpenzi then nimuone haniombi pesa lazima nigombane nae tu na kuhisi kuna mtu mwingine anayemhonga.
 
Aisee hii kweli ni funga mwaka.Hicho kichwa cha habari tu kilivyokaaa,,duuh.Mimi nikupe pole tu mkuu.
 
Back
Top Bottom