Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

"Nitakupa mahaba, nitatunza nyumba na tutaishi kawaida..."
Amesema hana kazi anahitaji mwanamke atakayemlea, anayekulea inabidi awe na uwezo kukuzidi katika kesi yetu mleta mada kasema hana kazi hivyo mlezi wake tunatarajia awe na kazi au njia nyingine ya kumuingizia kipato kuweza kumlea mleta uzi.

Nina uhakika aliposema atatunza nyumba amemaanisha atatunza jengo siyo wakazi wa hiyo nyumba.
 
Naam, hakuna raha kama kuleana kati ya mwanamke na mwanamme.
 
Wakuu,

Kuna mtakaodhani natania au mtanitukana. Lakini heri nitangaze nia ili uwezo wa siri nilionao unisaidie wakati huu ninapoendelea kutafuta ajira.

Mimi ni Mtaalamu wa Massage & SPA, hoteli ilifungwa hivyo tukarudi majumbani na bado nimeyumba sana. Hapo nyuma hali hii ilipojitokeza, kuna mama mmoja aliyekuwa anapendelea kuja kufanyiwa Massage alitokea kunipenda hadi akanihamishia kwake.

Kwakweli nilimpa experience ambayo ni adimu kuipata mtaani au kwa wapenzi wako maana mimi nina-apply na taaluma yangu kabisa tunapokuwa chumbani. Alikuwa ananiacha nyumbani, akirudi nyumba safi, nimeshafua, nimepika (nina Certificate ya Catering/Mapishi kabla ya kuhamia kwenye SPA).

Then namuandaa kisaikolojia (kama tunavyofanyiaga wateja wetu), namkanda na kumpa Masaji...basi alikuwa anafika kileleni si chini ya mara 3 hata kabla sijamwingilia, so wakati mwingine nikawa navunga tu maana kachoka, basi tunalala. Maybe asubuhi ndo naweza kumpasha kidogo.

Tuliachana kwa amani kabisa and under her own terms, alitaka nimuoe wakati age difference ilikuwa kubwa sana kwakweli.

Sasa nimekuja kutafuta Mwanamke ambaye atanichukua tuishi wakati mie naendelea kutuma maombi ya kazi, na hata nikipata Penzi letu litaendelea tu na kwasasa niko tayari kuoa (mahari ntajitahidi kutafuta nijilipie mwenyewe).

Nitakupa mahaba, nitatunza nyumba na tutaishi kawaida kabisa wala sitajiskia vibaya kwa lolote au kuhisi kama ninalelewa...kwa mtakao sema "wewe ni mwanaume, huo sio utamaduni wetu", kwakweli bakini tu na utamaduni wenu, naamini mwanamke anaweza kubadili maisha ya mtu.

Mie ni mcheshi, ni kijana mpambanaji na ninajiheshimu. Dada/Mama kama upo na ungehitaji kampani yangu basi niPM, tuongee, tukipendana, maisha yaendelee.

Thanks.
Kwa utaalamu huo nakushauri Fungua tu ofisi waje wengi ulipie na kodi ya mapato TRA ili uchumi ukue
 
Utaparamiwa kama wajua para samaki, mi nakuombea upate bonge la bwana lenye boonge la oobm...shenz kabisa, ushoga unaanzaga hivyo hivyo
 
Nimemsoma huyu kijana na majibu ya wengi mnayompa nnahisi amma mnaompinga au kumjibu kwa stihizai hamna uelewa wa maisha au m finyu sana vichwani mwenu.

Mimi nimependa alivyo muwazi.

Kazi zake alizosomea na industry aliyofanyia kazi zina uhusiano kabisa na matakwa yake.

Mimi ningemshauri atafute mke, kuna wengi humu jukwaani huwa wanatafuta waume, hii ndiyo fursa yenu.

Usikate tamaa kijana lakini ningefurahi zaidi ungetafuta wa kuoana nae wa kumfanyia yote badala ya wakufanya nae uasherati tu.

Hakika binti zangu wangekuwa hawajaolewa ningefanya kila njia nikuoze mmoja.

Nnakuahidi ntakutafutia mke kama u tayari kuoana nae si kufanya zinaa au uasherati.

This is a dream man. Ni mwanamke mpumbavu tu na muuza K asiyeyataka hayo.

Nani asiyependa kuhudumiwa?
Hahhahahha ndo maana nikakuita granny.
 
Mfyuuuu dume zima hovyo! Mbona wenzako wanabeba zege we unashindwa nini mpaka utake kulelewa?
Acha unyanyapaa bana mbona nyie mnatafuta wanaume wenye hela wakati mna uwezo wa kubeba zege, mwenzenu kaona fursa na ukute ameshampata wa kufanana nae, maisha ya leo wanawake wengi wana uwezo mkubwa kifedha lakini hawana furaha ya kimwili, kimaisha, sasa akipata kijana wa kumpa furaha sioni kama ni tatizo.
 
Wakuu,

Kuna mtakaodhani natania au mtanitukana. Lakini heri nitangaze nia ili uwezo wa siri nilionao unisaidie wakati huu ninapoendelea kutafuta ajira.

Mimi ni Mtaalamu wa Massage & SPA, hoteli ilifungwa hivyo tukarudi majumbani na bado nimeyumba sana. Hapo nyuma hali hii ilipojitokeza, kuna mama mmoja aliyekuwa anapendelea kuja kufanyiwa Massage alitokea kunipenda hadi akanihamishia kwake.

Kwakweli nilimpa experience ambayo ni adimu kuipata mtaani au kwa wapenzi wako maana mimi nina-apply na taaluma yangu kabisa tunapokuwa chumbani. Alikuwa ananiacha nyumbani, akirudi nyumba safi, nimeshafua, nimepika (nina Certificate ya Catering/Mapishi kabla ya kuhamia kwenye SPA).

Then namuandaa kisaikolojia (kama tunavyofanyiaga wateja wetu), namkanda na kumpa Masaji...basi alikuwa anafika kileleni si chini ya mara 3 hata kabla sijamwingilia, so wakati mwingine nikawa navunga tu maana kachoka, basi tunalala. Maybe asubuhi ndo naweza kumpasha kidogo.

Tuliachana kwa amani kabisa and under her own terms, alitaka nimuoe wakati age difference ilikuwa kubwa sana kwakweli.

Sasa nimekuja kutafuta Mwanamke ambaye atanichukua tuishi wakati mie naendelea kutuma maombi ya kazi, na hata nikipata Penzi letu litaendelea tu na kwasasa niko tayari kuoa (mahari ntajitahidi kutafuta nijilipie mwenyewe).

Nitakupa mahaba, nitatunza nyumba na tutaishi kawaida kabisa wala sitajiskia vibaya kwa lolote au kuhisi kama ninalelewa...kwa mtakao sema "wewe ni mwanaume, huo sio utamaduni wetu", kwakweli bakini tu na utamaduni wenu, naamini mwanamke anaweza kubadili maisha ya mtu.

Mie ni mcheshi, ni kijana mpambanaji na ninajiheshimu. Dada/Mama kama upo na ungehitaji kampani yangu basi niPM, tuongee, tukipendana, maisha yaendelee.

Thanks.
Blaza ukifanikiwa na mm niambie.
 
Jamaa kajieleza vizuri sana,

Kumtukana sifikiri kama ni kutatua tatizo,

Kama unaona anatatizo ungesema afanye nini, ungetoa ushauri, afanye kazi, kazi ipi wakati yeye amesha weka wazi kazi anayo ifanya?

Mijamaa humu sijui haijui kusoma!

utakuwa una nyodo sana huyo wa kwanza mbona uligoma kumuoa alafu saivi unatafuta typ na age hiyohiyo uliyoikataa awali?

km c wa makonda utakuwa unawaaibisha wanaume wenzio wapambanaji.
 
Back
Top Bottom