Natafuta kazi hapa mjini Dsm. Elimu yangu 4m 4. Aliye interested with me call 0718651174

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Naishi Mbezi kwa Msuguri,kwa kuwa soko la ajira ni gumu hapa Tz. Basi mwenye kibarua cha maana aniwezeshe i.e, kuuza duka,butcher,saloon,kazi za viwandani,na makumpuni binafsi au ya umma.
Tafadhali niko serious. Nimechoka kukaa kwa mtaa au Idle at home.
 
hyo form 4 ungeomba jkt ingekusaidia sababu polisi,jwtz,magereza na askari bandari wote wanachukua kutoka jkt hawachukui form 4 wamtaani wanachukuliwa walokua jkt km mtaani wanaweza kuchukua mfano km 3 kutoka jkt 15,kwahyo kuna advantage
 
wapo mission wametangaza ajira kwa level ya elimu uliyonayo, kama vp nenda pale wapo radio au sikiliza vipindi vyao au uliza wenzako wakutonye
 
Naishi Mbezi kwa Msuguri,kwa kuwa soko la ajira ni gumu hapa Tz. Basi mwenye kibarua cha maana aniwezeshe i.e, kuuza duka,butcher,saloon,kazi za viwandani,na makumpuni binafsi au ya umma.
Tafadhali niko serious. Nimechoka kukaa kwa mtaa au Idle at home.
Hebu sema katika elimu yako ya f4 unaufaulu wa kiasi gani? hebu weka wazi, umri wako pia hapa.
 
nimezaliwa tarehe 14.09.1989. Nimemaliza 4m 4 mwaka jana,nikipata pass 4 [D 4] za Eng,Kisw,Hist,na Civics.
 
wapo mission wametangaza ajira kwa level ya elimu uliyonayo, kama vp nenda pale wapo radio au sikiliza vipindi vyao au uliza wenzako wakutonye

hebu nifafanulie kdgo mkuu,kwa kazi ipi wametangaza.
 
Naishi Mbezi kwa Msuguri,kwa kuwa soko la ajira ni gumu hapa Tz. Basi mwenye kibarua cha maana aniwezeshe i.e, kuuza duka,butcher,saloon,kazi za viwandani,na makumpuni binafsi au ya umma.
Tafadhali niko serious. Nimechoka kukaa kwa mtaa au Idle at home.

wewe rudi kijijini kalime bustani ya mboga mboga ..mjini huwezi kupata kazi kwa elimu hiyo ya form 4
 
naishi na watu ambao ni 4m 4 kibao wana kazi zao na zinawalipa si hapa. Mapolisi ndo usiseme! Hata drs la 7 wapo nao. So cdhani kama kauli yako iko sahihi kivile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom