Natafuta Kazi Dodoma( IT graduate)

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Kuna ndugu yangu, ni binti, ana umri wa miaka 28, ana degree ya IT, anatafuta kazi Dodoma.
Ndugu wana JF naomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anataarifa zozote zitakazosaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom