Habari ya uzima wanajamii forums, mimi ni civil engineer nliyemaliza chuo mwka jana natafuta kazi katika kampuni yoyote ya ujenzi au consultancy inayohusika na barabara au majengo. Anayejua kampuni inayohitaji naomba ani pm. Asanteni.
Technician anahitajika in civil engineering,
Tuma CV na refferee mmoja Register Engineer ambatanisha na namba yake ya registration
Apply to:
HR Mchubanga enterprises,
Box 71997,
Dar es salaam
gdwnchch@gmail.com