Natafuta kama hii..!

MawazoMatatu

JF-Expert Member
Sep 6, 2008
505
61
Portable Room Air Conditioner
AC.jpg
Wadau naulizia je hii inapatikana bongo na kama ipo ni Tsh ngapi ni hayo tu wakuu msaada wenu ni muhimu! (Kumbuka: natafuta Portable maana mi ni mtu wa kuhamahama)
 
Portable Room Air Conditioner
View attachment 4643
Wadau naulizia je hii inapatikana bongo na kama ipo ni Tsh ngapi ni hayo tu wakuu msaada wenu ni muhimu! (Kumbuka: natafuta Portable maana mi ni mtu wa kuhamahama)

Mkuu asante kuleta hii kitu jamvini, binafsi nilisikia zipo, ila jitihada zangu za kuisaka ziliishia kugonga mwamba, labda JF kwa vile jamvi nene tutajua mkuu!
 
Japo tumekwisha kupewa tahadhari na vitu vya The Game - Mlimani City, but zipo hapo na bei iko kati ya laki nne mpaka tano.
 
Japo tumekwisha kupewa tahadhari na vitu vya The Game - Mlimani City, but zipo hapo na bei iko kati ya laki nne mpaka tano.

Chocolate,
Tafadhali tueleze kidogo kuhusu hawa jamaa wa Game - Mlimani City na bidhaa zao ili tusije ingia mkenge!
 
Japo tumekwisha kupewa tahadhari na vitu vya The Game - Mlimani City, but zipo hapo na bei iko kati ya laki nne mpaka tano.

Chocolate mbona Game nimezuru hapo mara kibao hawana? Pale nimeona window AC, ila wana feni model mpya inamuonekano kama AC na unaweka mezani, haina mapanga yale yameundiwa kama box kwa nje so upepepo unavuma toka ndani, but ni upepo tu si wabaridi, labda kama wameleta mwezi huu mkuu!
 
jaribu kwenye mitumba nimekutana nazo sana huko! na bei ni laki mbili na nusu hadi laki nne!na kama upo dar utaipata kwa urahisi zaidi.
 
Bidhaa nyingi hapo Mlimani ni low end quality na wanatubambika bei za top end quality,
mimi naweza kukufanyia favour ukapata kitu genuine kwa bei hiyo hiyo ya Mlimani.
Hebu angalia tofauti ya bei kati ya hizi 2.

tafadhali ingia ebay.co.uk item #150350073880 ambayo ni cheap end bei yake ni kama shs 60.000

na hii hapa:
item #390051761008 ambayo ni quality ipo sale kwa bei kama shs 180.000 bei yake ilikuwa kama shs 360.000 mimi naweza kukupatia hio ila usafiri itakugharimu shs 250.000 kuisafirisha katika wiki 2 jumla shs 430.000 hadi unaipata ama kuiweka ndani ya container ambapo itakugharimu shs 250.000 lakini muda wa kuipata ni kati ya mwezi mpaka miezi 2.
Kama upo tayari ni PM mkuu.
 
Last edited:
Nilinunua moja pale Mlimani nimeitumia wiki mbili tu nikahamishwa kikazi. Nimeiacha Dar kwenye nyumba yangu, ilinigharimu 470 thou kama sijasahau, lakini risiti ipo. Nategemea kurudi Dar kwa muda mfupi tarehe 14 Juni. Ukiwa bado hujapata na unahitaji basi nipe simu yako nitakapowasili nitakupigia uje uione. inaweza kuondoka kwa 370 tu kunipunguzia mzigo. kazi kwako!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom