natafuta kabinti kabichii ..kakuoa

papaa-H

Member
Nov 11, 2010
74
11
Hi there...!
nahitji binti mzuri wa kuzugia, tukiendana anaweza kupata bahati ya kuolewa nami. I cant speak of marriage right now coz I do believe that this wil be the output of what we gonna buld together. To know me better just Pm me
...wahi faster nafasi ni chache (moja)
upatapo taarifa hii mwambie na mwenzako.
 
nenda katafute vyuoni,hapa jf tumebakia mimama tu tuna ndoa zetu halafu tumejazia jazia....
thanks Jes... wembamba kwa wanene wote wanakaribishwa, ila wasiwe na ndoa. All the best mlio kwenye ndoa zenu
 
Yaani kuolewa ni bahati na siyo makubaliano kweli wewe chizi. Katafute kwengine hakuna desperate.
 
Yaani kuolewa ni bahati na siyo makubaliano kweli wewe chizi. Katafute kwengine hakuna desperate.
waoaji wachache sana cku hiz madamex, na wanavyodai tena kwamba female ni wengi kuliko male, ukiongeza na hawa cameroon(PM wa england) anaotaka kutengeneza plus ugumu wa maisha inafanya kuolewa kuzidi kuwa bahati ya pekee.
 
Back
Top Bottom