Natafuta ka plot

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Natafuta sehemu ambayo nitaweka mashine ya kusaga mahindi. Iwe jirani na barabara. Maeneo ya ubungo, Kimara ama Tabata. Kwa anayejua au mwenye kaeneo tujulishane. Hata kama ni kununua ama kukodi. Naomba kuwasilisha
 
Salaaam wadau....TANGAZO: KIWANJA KINAUZWA!!!
MAHALI: KIBADA, KIGAMBONI, DAR ES SALAAM
UKUBWA: 1054 sq metre
BEI: Milioni 17.5 Tsh
MAWASILIANO: 0755490360
KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA NYARAKA ZOTE MUHIMU....WAHI SASA!!!!!
 
Back
Top Bottom