Natafuta jina la City Centre leo

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Leo DSM hapa tunapopaita City centre, yaani hapatamaniki. Baada ya kunyesha mvua kwa takriban lisaa limoja, kila kona naona chemba zinatema maji machafu! Kwa sisi tusio na usafiri binafsi kwa kweli ni tatizo kubwa. Inatulazimu kukanyaga ki***si, dah yani kichefuchefu tupu.

Nataka kuipa jina siku ya leo, je, its kin***i day in Dar?
 
Thubutu yako!!!! enzi za Mchonga hapakuwa na watu holela Dar!,,,, ukija mjini laziam balozi ajue data zako, la sivyo unarudi ulikotoka,, siku hz mijitu imejaa mjini bila sababu na bila mpangilio
 
Leo DSM hapa tunapopaita City centre, yaani hapatamaniki. Baada ya kunyesha mvua kwa takriban lisaa limoja, kila kona naona chemba zinatema maji machafu! Kwa sisi tusio na usafiri binafsi kwa kweli ni tatizo kubwa. Inatulazimu kukanyaga ki***si, dah yani kichefuchefu tupu.

Nataka kuipa jina siku ya leo, je, its kin***i day in Dar?

Hapo mbona siku zote panajulikana kama "Mchafukaoge" aka "Mchafukoge"

No wonder

mchafukoge dar es salaam - Google Maps
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom