Natafuta jimama la kunilea

Nina miaka 23
nipo mwaka wa mwisho KCMC,
natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 45,awe na kazi pia kama ana watoto wawe ni wakike tu pia wawe na miaka kuanzia 18 kwenda mbele!
SERIOUS......

He Kumbe uchumi unao halafu unaukalia, kama vipi hamia Mombasa huko kila kitu ni Bure Kabisa, haswa kwa nyie mnaopenda mteremko.
 
Nina miaka 23
nipo mwaka wa mwisho KCMC,
natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 45,awe na kazi pia kama ana watoto wawe ni wakike tu pia wawe na miaka kuanzia 18 kwenda mbele!
SERIOUS......

Duh! umekula asara kama bado unafikiria kuna majimama ebu mtoto wakiume jikaze, sema na roho yako usipende vya bure vitakutokea pabaya...
 
Usikate tamaa walopost comment wote wanapenda alaf hawa wengne ka mashoga shoga hv!
 
Nina miaka 23
nipo mwaka wa mwisho KCMC,
natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 mpaka 45,awe na kazi pia kama ana watoto wawe ni wakike tu pia wawe na miaka kuanzia 18 kwenda mbele!
SERIOUS......

Basi tufanye biashara mimi nina danguro langu ninawauza vijana kama nyinyi kwa majimama naomba unipm nikupe direction
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom